Mix

Mambo 12 makubwa ya Rais JPM wakati akikabidhiwa nyumba na Mkapa Foundation

on

Leo July 10, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa nyumba za wahudumu wa afya na Mkapa Foundation katika sherehe iliyofanyika kijiji cha Mkungo, Wilaya ya Chato, Geita.

Haya hapa mambo makubwa 12 Rais Magufuli ameyazungumza wakati wa sherehe ya kukabidhiwa nyumba hizo ambapo ameipongeza pia Mkapa Foundation akisema anazipenda Taasisi zinazofanya kazi ya kuonekana na sio zinazoongea ongea.

“Sasa hivi tumeweka sheria mpaka majipu yanajitumbua yenyewe” – JPM!!!

Soma na hizi

Tupia Comments