Mix

RED CARPET: Wabongo walivyovaa kizamani kwenye party ya Sallam

on

Meneja wa WCB Sallam amesherehekea birthday yake Dar es salaam kwa kuangusha party ambayo ili uruhusiwe kuingia lazima uwe umevaa nguo ambazo ndio zilikua zinatamba kwenye fashion ya miaka ya 90….. kila kitu kipo hapa chini kwenye hii video

AUDIO: Harmonize aongea ukweli kuhusu yeye na Wolper, PLAY HAPA CHINI KUPATA KILA KITU

VIDEO: Flora awajibu wanaosema kamzidi umri Mume mpya, kumualika Mume wake wa zamani harusini na mengine…. PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments