Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Hamisa Mobetto amuonyesha “Roho mkalia moyo wake” Mmarekani

on

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amerudi tena kwenye headlines hii ni baada ya videos na picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa na mwanaume nchini Marekani ambaye mpaka sasa mwanaume jina lake halijafahamika.

Kutokana na videos na picha hizo wengi walihoji na kudai kuwa ni mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto ingawa kwa upande wa Hamisa hakuongea chochote kuhusiana na kile kilichokuwa kikiendelea kwenye mitandao ya kijamii.

Ila leo November 9,2018 Hamisa Mobetto kapost picha akiwa na mwanaume huyo na kuandika caption inayosema “Roho Mkalia Moyo ….💘#MyMirindaNyeusi #MyBiggiey #NaUrefuWanguWoteApaNimekuaMfupi 🙌🏽”

Calisah anunuliwa gari na aliekuwa mapenzini na Otile Brown, Vera Sidika

Soma na hizi

Tupia Comments