Mix

Picha: Kijana muhamasishaji wa Taifa Stars na Mwigizaji Dude wamefika MT. Kilimanjaro

on

NI Headlines za Kijana muhamasishaji wa timu ya Taifa Stars kutokea Mkoani Manyara na Mwigizaji Dude ambao nao wameingia kwenye list ya rekodi za miongoni waliofanikiwa kufika katika kilele cha mlimani Kilimanjaro.

Kijana huyo na Dude pamoja na wasanii wengine wa muziki wa kizazi kipya na Bongo Movies wameshiriki kuupanda mlima huo katika challenge ya Waziri Hamisi Kigwangalla iliyopewa jina la HK Kilimanjaro Challenge 2019.

Hapo awali iliripotiwa kutoka kwenye tasnia ya Burudani yaani Bongo Fleva rekodi iliandikwa na Mwana FA baada ya kufika kileleni hapo akiwa na picha ya Rais Magufuli.

Mwigizaji wa filamu Dude akiwa kilele Mlimani Kilimanjaro

ULIIMISS HII YA MWANA FA KUVUNJA REKODI KUFIKA KILELENI MLIMANI KILIMANJARO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments