fB insta twitter

Ni Jux kwenye headlines na picha za mjengo wake wa gorofa.

on

JuxJux ni jina jingine bongoflevani kwa nyimbo nzuri kama ‘uzuri wako‘ na nyingine zikiwemo kolabo kama ya Young Dee ‘sio mchoyo’
Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake, pia Nay wa Mitego pia anaejenga gorofa wakati Idris Sultan mshindi wa BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita.
Jux 1Baada ya Jux kupost picha ya nyumba yake Jux alionyesha furaha yake akitamani kuhamia baada ya kutimiza ndoto zake.

Unaweza kutazama kipisi cha hii video hapa chini umuone Jux akiwa kazini Zanzibar.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments