Video Mpya

VideoMPYA: Muimbaji Ruby karudi Upya na hii kawashirikisha The Mafik

on

Muimbaji wa Bongofleva Ruby amerudi tena baada ya kukaa muda kidogo bila kuachia kazi yake binafsi ambapo leo rasmi amekuja na hii aliyowashirikisha wasanii wanaounda kundi la The Mafik wimbo unaitwa ‘Niwaze’. PLAY hapa chini kuitazama VIDEO.

Zari awaambia wanawake “Endeleeni kudanga mafanikio hayapatikani kupitia ngono”

VIDEO: Model aliyemtosa Gnako, asiyevutiwa na Wema Sepetu

Soma na hizi

Tupia Comments