Nyumba/ Mijumba

Kama unazimika na nyumba nzuri za kisasa… tazama hizi picha 20 za hii ya California.

on

h18Ni time nyingine tena ya kukusogezea post yenye pichaz za nyumba za kisasa angalau kama ulikua na wazo la kujenga au kuboresha kwako upate idea za nyongeza.

Kuna wengine hawana uwezo wa kujenga nyumba kama hii lakini naamini una uwezo wa kujifunza kwa vitu vidogovidogo kama garden, mpangilio wa nyumba kama vile sebule, jikoni au nje, madirisha, jinsi wenzetu wanavyoziweka taa kwenye nyumba pamoja na mengine.

h19Hii nyumba ipo California Marekani.

h20

h1

h2

h3

h4

h5

h6

h7

h8

h9

h10

h11

h12

h13

h14

h15

h16

h17

Tupia Comments