Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bajaji iliyobuniwa Tanzania bado haijarekebishwa ‘Nimekatishwa tamaa’
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Bajaji iliyobuniwa Tanzania bado haijarekebishwa ‘Nimekatishwa tamaa’
AyoTVStori KubwaTop Stories

Bajaji iliyobuniwa Tanzania bado haijarekebishwa ‘Nimekatishwa tamaa’

November 13, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Mtanzania aliyeunda BAJAJI, Mzee Andrew Mbanga ambapo amesema ni miezi miwili imepita tangu BAJAJI yake ipelekwe Chuo cha Taifa cha Usafarishaji (N.I.T) kwa ajili ya kurekebishwa kutokana na agizo alilolitoa aliyekuwa Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji Charles Mwijage.

Mzee Mbanga amesema hadi Mwijage anatenguliwa kwenye nafasi yake ya Uwaziri na Rais John Magufuli bado BAJAJI hiyo haijarekebishwa kama alivyotoa maagizo pamoja na fedha kwa ajili ya kuirekebisha.

“Hadi leo hakuna mrejesho waziri alishatoa nguvu zake, BAJAJI iliagizwa ikatwe hadi sasa haijakatwa kwani Mainjinia walifatilia makosa madogo madogo ambayo yametakiwa yarekebishwe japo tatizo kubwa ilikuwa ikatwe lakini nikiuliza wanasema iongezwe pesa ifike Laki Tano na arobaini kwa ajili ya vifaa,”amesema.

Mzee Mbanga amesema anapa athari kubwa kwa kuwa akili yake imejikita kutengeneza BAJAJI, hivyo kukwama huko kunamkatisha tamaa kwani anatarajia kufungua kiwanda.

SAKATA LA USHOGA: MUFTI MKUU TANZANIA ATOA KAULI ‘MUNGU ALIANGAMIZA KIJIJI’

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Ayo TV, habari kubwa, top stories
Mika Ndaba TZA November 13, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kutana na Michael Jackson wa Tanzania Mtoto wa Dodoma (+video)
Next Article Kilichomkutanisha James Lembeli na Mjukuu wa Malkia Elizabeth, Uingereza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?