AyoTV

A-Z: Waziri Mhagama afunguka siri wanawake kushika nafasi za uongozi

on

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama amesema kuwa tafiti mbalimbali zinaonyesha taasisi na kampuni zilizofanikiwa zinatokana na wanawake kushika nafasi za juu za uongozi.

Waziri Mhagama amesema kuwaamni wanawake na kuwapana nafasi za juu ni dalili kwamba taifa linaweza kuwataumia wanawake na mafanikio yakawa makubwa.

“Hivyo inaonyesha zipo dalili za wazi za wanawake waendelee kuaminiwa ambapo chama cha waajiri Tanzania kimethibitisha kwa kutoa mafunzo kwa wanawake 25, kwani imekuwa ni sehemu ya kuongeza nafasi za uongozi katika kampuni na taasisi mbalimbali,”amesema.

DC Jokate alivyotaja sifa tatu kuhusu Waziri Mhagama ‘Wewe ni mrembo sana’

Soma na hizi

Tupia Comments