Michezo

Arsenal itashinda FA Cup?! umeona ratiba ilivyopangiliwa? kama bado nimekuwekea hapa

on

ArsDraw ya round ya sita ya kombe la FA ilifanyika Jumatatu February 16 2015 ambapo mwisho wa mpango Arsenal na Manchester United wamekuja kujikuta wanakutanishwa kama inavyoonekana kwenye hii list kamili hapa chini.

FA CupNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments