Mix

UPDATE: ACACIA wamekubali kuilipa serikali kiasi hiki kwenye Makinikia

By

on

Baada ya muda mrefu kupita tangu kuwepo taarifa kuwa serikali ya Tanzania na kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA zingekutana kwaajili ya mazungumzo, hatimaye ACACIA leo wametoa taarifa kuwa wataanza kulipa kodi ya mrahaba ya 6% bada ya 4% ilikuwa ikilipwa awali.

Pia kampuni hiyo imesema kuwa italipia 1% nyingine kwenye hatua za ukaguzi wakati wa usafirishaji wa madini yote yatakayokuwa kwenye makontena ya makinikia.

VIDEO: Umepitwa na uchambuzi wa Magazeti ya leo July 14, 2017? Bonyeza play kutazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments