Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tanga bwana!! haya ni baadhi ya majina ya sehemu zake.
Share
Notification Show More
Reading List
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Sasa zimebaki asilimia 33 kukamilisha bwawa la Nyerere la kufua Umeme
August 10, 2022
Ruto anaongoza kwa Asilimia 50.85
August 10, 2022
Live: Rais Samia na Rais wa Zambia Hakainde wazungumza Ikulu DSM
August 2, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 2, 2022
August 2, 2022
Rais Samia na Mkuu wa Majeshi wakiweka silaha za Jadi na Shada kweye mnara wa Mashujaaa
July 25, 2022
Ndoa ya Nandy na Billnass, Tazama Bwana Harusi alivyowasili na gari la kifahari Rolls Royce
July 16, 2022
Azam FC waleta kipa hodari, awazuia Zlatan, Payet na Cavani wasifunge
July 13, 2022
Tazama maelfu ya Raia bila uoga walivyovamia Ikulu, wakimtaka Rais ajiuzulu (video+)
July 10, 2022
PICHA 17:Maonesho ya Sabasaba yanoga Dar es Salaam 2022
July 7, 2022
Latest News
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
August 12, 2022
TFF yatoa tamko ishu ya Yanga, Manara aibua lingine, “Uzembe wenu ila mkawa wepesi”
August 12, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Tanga bwana!! haya ni baadhi ya majina ya sehemu zake.
MixStori Pekee

Tanga bwana!! haya ni baadhi ya majina ya sehemu zake.

January 4, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

MK 1Ni baadhi ya majina ya sehemu ambazo zipo ndani ya mkoa wa Tanga (Clouds FM 96.0) ambapo hili la juu liitwalo Mkanyageni mwanzoni nilijiuliza maswali mengi sana na nikahisi vitu vingi na kutaka kujua ilikuaje?

Ukweli au maana ya hili neno mwenyeji wake aliniambia jina kamili la hii sehemu ni ‘Mkanyawageni’ miaka hiyo ya 70 na 80 kurudi chini liliitwa Mkanyawageni kwa sababu kila mgeni alieingia kuishi hapo ni lazima kwanza kabla ya kuendelea na maisha, alikua anatakiwa kukutana na Wazee/Wenyeji aonywe au kupewa maelekezo jinsi ya kuishi hapa.

Hakukua na chochote cha ajabu kwenye jinsi ya kuishi ndani ya hili eneo ila ulitakiwa kufata mambo yako tu, usifatilie wala kuingilia maisha ya yeyote hivyo kwenye miaka ya karibuni ndio wakaamua kulifupisha jina na kupaita Mkanyageni.

mk 2Ngomeni nilijaribu kupata Mwenyeji wa kunipa info lakini ikashindikana.

MK 3Chumvini ni eneo jingine lililofanya nisimame na kufatilia kujua ukweli wake, mmoja wa Wenyeji wa siku nyingi ameniambia jina hili lilitokana na eneo hili kuwa na ardhi yenye chumvichumvi.

MK 4Kange nako palinivutia nijue maana yake lakini sikufanikiwa, siku zote nimelisikia neno Kange kama aina ya chakula chenye aina yake ya upishi ambacho kinapatikana Dar es salaam sanasana kwenye bar.
MK 5Una sehemu yoyote ambayo unaijua na ina jina au majina yenye utata au yenye kufanya utake kujua nini maana yake? shea na mimi kwenye comment hapa chini mtu wangu, au nichek kwenye facebook, twitter na instagram kwa jina la Millard Ayo, pia unaweza kunitumia kwenye mtuwakowanguvu@gmail.com

You Might Also Like

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Millard Ayo January 4, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article hii ya bangi kuruhusiwa kisheria, cheki watu kwenye foleni kuinunua na maduka yenyewe yani.
Next Article Ludacris acheza faulo nje ya uhusiano wake.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
Entertainment August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
Entertainment August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
Mix August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
Top Stories August 12, 2022

You Might also Like

Top Stories

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

August 12, 2022
Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?