Nyumba/ Mijumba

Pichaz za nyumba 3 bora za kisasa zilizonivutia leo kwenye mvuto wa nje mpaka ndani.

on

house 1Mimi ni mmoja kati ya wanaopenda kuwa na sehemu nzuri za kuishi, hata kama sitoweza kuwa na nyumba kama hii lakini sababu napenda vitu vizuri, ninapotazama nyumba kama hizi napata idea chache za kuhamishia kwangu…. haijalishi inaweza hata kuwa mpangilio wa sebule, makochi, bafu, madirisha, sakafu, kitanda au chochote kingine.

Hii nyumba ipo Texas Marekani.
n13

n1

n2

n3

n4

n5

n6

n7

n8

n9

n10

n11

n12

n14

Katika zote za leo hii nyumba namba 1 ndio nimeipenda zaidi.

Picha zinazofata hapa chini ni nyumba zilizopo California Marekani na Slovakia.

n15

n16

n17

n18

n19

n20

n21

n22

n23

n24

n25

n26

n27

n29

n30

n31

n32

n33

n34

n35Nyumba ya mwisho inayofata hapa chini ipo Tel Aviv Israel.I1

I2

Hii ni moja ya sehemu zilizonivutia sana kwenye hii nyumba ya Israel, taa huwa zinanogesha sana nyumba

 

I3

I4

I5

I6

I7

I8

I9

I10

I11

I12

I13

I14

I15

I16

I17

Kipisi kingine kilichonivutia zaidi kwenye hii nyumba ya Israel.

Nyumba ipi imekuvutia zaidi mtu wangu? kama uko na mimi naomba uniachie comment yako

Kaa karibu yangu kupitia Facebook Twitter na Instagram kwa kubonyeza hapa na nitakusogezea kila kinachonifikia mtu wangu >>> Facebook Twitter Instagram

Tupia Comments