Vituko/ Comedy

VIDEO: Ni kweli Wanawake Tarime bado wanapenda kupigwa na Mume?

on

Mapenzi ni Mubashara na huu ndio mwezi wake ambapo kilele cha siku ya Wapendanao ni February 14 ambapo kwenye kuisubiria siku yenyewe, AyoTV inatembeza camera yake kwenye kona mbalimbali za Tanzania.

Siungi mkono kitendo cha mtu yeyote kupigwa iwe Mwanamke au Mwanaume lakini tumekua tukisikia kwamba Wanawake wa kikurya kutoka Mara huwa wanalazimisha kupigwa na Waume zao ili ndio wajue wanapendwa, swali kubwa ni je huo utamaduni uko mpaka sasa? 

Kwenye hii video hapa chini, mtazame Baba wa Watoto 10 Alex Chacha kutoka Tarime akielezea kwa upande wake

BONGO MOVIE: Mume kaenda kazini, Wife kaleta Mchepuko nyumbani…. tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments