Yani zile goli 5 walizofungwa Arsenal jana zimesababisha jina la timu hii litajwe na kuandikwa mara nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuambatanishwa na pichaz zikiwemo hizi.
Yani toka jana kuna watu hawaiachi Arsenal, wamesambaza na hizi picha na kumjumuisha Moyes
Leave a comment
Leave a comment