Top Stories

Majibu ya Spika kuhusu kumnyang’anya Mbowe gari lake

on

Spika wa Bunge Job Ndugai amejibu mwongozo uliotolewa na Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara aliyehoji sababu za Kiongozi wa upinzani Bungeni Freeman Mbowe kutopewa gari lake kama taratibu zinavyoruhusu pamoja na Bunge kudaiwa kuwafukuza Kazi watumishi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.

Ni kwamba gari lipo na lipo hapa hapa Bungeni isipokuwa kuna jambo ambalo dereva aliyekuwepo mwanzo amestaafu na anatakiwa apewe dereva mwingine” –Spika Job Ndugai

TAHADHARI kwa wanaotumia Barabara zilizopo mkoani Pwani

Soma na hizi

Tupia Comments