Team Hamisa Mobetto ambao ni mashabiki wake wameamua kumuandalia Birthday dinner mrembo huyo ambaye siku ya jana December 10, 2018 ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na aliamua kwenda Wilaya ya Kisarawe kuwaona watoto wasiojiweza.
Sasa AyoTV na millardayo.com zimefika kwenye Birthday dinner ya Hamisa na kunasa matukio muhimu. Bonyeza PLAY hapa chini kuona Hamisa akikata keki na mashabiki.
EXCLUSIVE: WEMA KAVUNJA UKIMYA, “MTOTO WANGU AVAE HIVI, ATOKEE HIVI”
VIDEO: Mimi Mars kafunguka safari yake Coke Studio na mipaka waliyowekeana na Vanessa