Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Nay wa Mitego alinidharau, sasa namiliki gari kama lake Million 25”

on

Ni headlines za msanii kutoka Is- bah Entertainment B Gway ambapo alikuwa chini ya menejimenti ya Nay wa Mitego, sasa mwaka huu 2019 ameanza na upepo mzuri ambapo uongozi wake umempatia gari aina ya ALPHAD yenye thamani ya shilingi milioni 25.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

 

Soma na hizi

Tupia Comments