Video Mpya

VideoMPYA: DMW inakuletea “Aje” ft Davido,Yonda, Peruzzi & Fresh VDM

on

Leo April 17,2018 staa wa muziki kutokea Nigeria Davido pamoja na record label yake ya DMW anakuletea ngoma mpya ya “Aje” akiwa amewashirikisha Yonda, Peruzzi na Fresh VDM, ngoma hii imekuwa produced na Fresh VDM

BongoComedy: Wafunguka kuhusu clip yao iliyo-trend mitandaoni

Soma na hizi

Tupia Comments