Top Stories

INASIKITISHA: Mke asimulia ukatili aliofanyiwa na Mumewe “alinichoma visu kumi” (+video)

on

Kupitia Maadhimisho ya Siku ya Utepe Mweupe (siku ya kuwakumbuka akina mama waliofariki kutokana na mimba, uchungu na tatizo la uzazi pamoja na ukatili wa kijinsia) Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Kagera, shuhuda mbalimbali kutoka kwa wanawake walionyanyasika zimetolewa mbele ya Mwakilishi wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambapo mama mmoja kutoka Wilaya ya Karagwe ameeleza ukatili aliofanyiwa na Mume wake.

MREMBO ANA DEGREE ANAUZA MATUNDA. AMTAJA RUGE, WATEJA WAKUBWA WANAUME

Soma na hizi

Tupia Comments