Top Stories

Breaking: Waziri Lukuvi atengua uteuzi wa Mkurugenzi NHC

on

June 20, 2018 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika la Nyumba za taifa (NHC) Nehemia Kyando kuanzia leo hii. 

“Mnataka watanzania wajifungie ndani ndio wale samaki?” –Spika Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments