Mix

VIDEO: “Ni vizuri ukweli huu ukasemwa” – Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama ambaye aliwahi kuhudumu nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alisimama Bungeni Dodoma leo June 19, 2017 na kulieleza Bunge kuwa Watanzania waache kuwalaumu viongozi wastaafu wa Tanzania kwa madai kuwa hawakufanya kazi ambayo inafanywa na Rais Magufuli sasa…

BREAKING: TAKUKURU yawapeleka Mahakamani Rugemalila na Harbinder Sethi 

Soma na hizi

Tupia Comments