Videos

VideoMPYA: Nay wa Mitego leo kaachia hii video mpya ‘saka hela’ aliyoifanyia South Africa

on

Inawezekana uliwahi kumsikia msanii wa bongofleva Nay wa Mitego akisema kuwa hatokwenda kufanya video South Africa lakini ikitokea akaenda hiyo video itakua moto…. ndio hii katuletea hapa chini itazame kisha usiache kutuachia comment yako mtu wa nguvu ili akipita Nay pia ajue watu wake wameipokeaje.

ULIPITWA?: Ulikosa kutazama video ya utani wa JK Comedian kuhusu video ya ‘chura’ kufungiwa? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments