Mix

Fahamu kuhusu mbinu anayoitumia msanii huyu ili ashinde nafasi ya kiti cha Ubunge.

on

ballot-box-vote-660Tanzania sio nchi pekee ambayo wasanii wake wametangaza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao, Nigeria pia iko katika orodha hiyo.
Rapa 9ice kutoka Nigeria ambaye ni mmoja ya waliotangaza kugombea ubunge kwenye jimbo la Ogbomoso Kaskazini na kama haitoshi, jitihada zake nyingine amezielekeza upande wa biashara ya kuuza maji ya kunywa, mafuta ya kupikia pamoja na mvinyo ambavyo vimewekwa nembo yenye picha ya sura yake.

9ice
Watu mbalimbali waliotoa comment kwenye picha alizoweka 9ice kwenye Instagram wamempongeza kuwa biashara hiyo ni moja ya mbinu nzuri za kumpa ‘kick’ kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments