Top Stories

Maneno ya Prof Tibaijuka baada ya Rugemalira kuendelea kusota Rumande

on

Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka ambaye anasimamia pia taasisi ya kusomesha wanafunzi wa kike Joha Trust ameeleza ugumu anaoupata baada ya mmoja wa wafadhili wake kuingia matatizoni.

“Rugemalira alikuwa ameweka mfuko wake wa Milioni 35 kwa mwaka kwa ajili ya kuwasomesha baadhi ya watoto, ni pigo kubwa sana tunaomba sana haki itendeke, mambo haya yanatokea yapo juu ya uwezo wangu, tunaomba haki ijulikane” –Tibaijuka

Mambo matano CHADEMA wamesaini kushirikiana na Watanzania wanaoishi Washington

Soma na hizi

Tupia Comments