Mix

Mahakama ya Kisutu imetoa hati ya kukamatwa meya wa Kinondoni, kisa?

on

Mei 2 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka mikono ya sheria imkamate meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika mahakamani.

Boniface Jacob anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Christopher Lissa na kumsababishia maumivu makali, hiyo ni kwa mujibu wa habari ambazo millarardayo.com imezipata lakini inaendelea kuzifuatilia kwa kina na kuweza kumpata meya huyo wa Kinondoni.

tmp_16881-02-1606006613

Boniface Jacob

CHANZO CHA HII STORI: ISSAMICHUZI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIFO VYA WANAWAKE GUEST HOUSE VYAENDELEA DAR ES SALAAM, HII IMETOKEA MEI 1 2016

Soma na hizi

Tupia Comments