Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana huyu hapa Mimi Mars kaja na video ya ‘Papara’

on

Msanii wa Bongofleva Mimi Mars ambaye alitoa wimbo wa Papara leo May 02, 2018 ametuletea video ya wimbo huo ambao umetayarishwa na Director Justin Campos, karibu kuitazama usisahau kuacha Comment yako mtu wangu ili imfikie Mimi Mars.

UZALENDO KWANZA: Ni time ya Tanga, Steve Nyerere kaweka wazi yatakayofanyika

Soma na hizi

Tupia Comments