Ninayo good news kutoka kwa St John’s University of Tanzania ambayo napenda iwafikie wahitimu wote wa Kidato cha Nne na Sita ambao wanafuta Taasisi za Elimu ya Juu kwa ajili ya kujiendeleza zaidi.
Naambiwa Watanzania wameendelea kuhakikishiwa wataendelea kupata huduma nzuri ya masomo baada ya St John’s University of Tanzania (SJUT) Kampasi ya Chief Mazengo Dodoma, kuwatangazia nafasi za masomo katika ngazi ya CERTIFICATE na DIPLOMA kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 09 mwaka 2017.