Mix

PICHAZ 15: Profesa Jay alivyorudi tena jimboni kwake, safari hii sio mikono mitupu

on

April 24 2016 mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Profesa Jay amerudi tena jimboni kwake na kuendelea kuhakikisha ahadi zake za kuleta maji safi na salama katika jimbo lake zinatekelezeka kwa vitendo na sio maneno matupu.

1 (7)

Profesa Jay April 24 2016 alirudi katika jimbo la Mikumi kijiji cha Ruembe kutoa shukrani kwa wananchi kwa kumchagua, hiyo ilikuwa ni baada ya kutoa msaada wa mabomba yenye thamani ya Tsh Milioni 10 kata ya Ruaha jimbo la Mikumi, Profesa Jay anapeleka msaada huo ikiwa ni siku nane zimepita toka April 16 alivyotembelea eneo hilo.

1 (5)

1 (8)

1 (10)

1 (14)

b (1)

b (3)

b (4)

b (11)

b (12)

b (15)

1 (1)

1 (3)

1 (4)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

PROF JAY ALIVYOKUTANA NA WANANCHI WAKE APRIL 2016

Soma na hizi

Tupia Comments