Zimefanyika kampeni mbalimbali duniani kote kupinga tukio la wasichana waoaminiwa kutekwa na kundi la kigaidi la Boko haramu nchini Nigeria, wasichana ambao walitekwa wakiwa shuleni.
Leo Jumanne ya April 14 2015 watu mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni mwaka mmoja tangu wasichana 247 wa shule moja Chibok watekwe na kundi la Boko Haram huku wakiwa na mabango yenye ujumbe uliosomeka
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema ingawa hawezi kuthibitisha kama wasichana hao wataweza kuokolewa lakini Serikali itafanya kila njia kuhakikisha wasichana hao wanapatikana.
Hapa nina hizi PICHAZ ambazo zinaonesha maandamano hayo leo NIGERIA.
millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook