Uingereza imeingia kwenye headilines baada ya mcheza tenis bora duniani Andy Murray kutwaa ubingwa wa michuano ya mchezo huo maarufu kama Davis Cup.
Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1936 baada ya Murray kumshinda David Goffin raia wa Ubelgiji.
Murray alimshinda mpinzani wake kwa jumla ya seti 6-3 7-5 6-3 na kumfanya Goffin kupoteza kwa jumla ya 3-1.
Nyota huyu wa tenesi ameingia kwenye historia baada ya kutwaa mataji ya michuano ya Wimbledon, michuano ya wazi ya US Open na ile ya Michezo ya Olimpiki.
You’ve just won the #DavisCup for your country. What do you do first? Selfies with the fans! Brilliant @andy_murray! pic.twitter.com/zUYs2wXq8v
— Davis Cup (@DavisCup) November 29, 2015
Video ya mchezo mzima iko hapa…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.