Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 12, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Kansela wa Ujerumani Angela MERKEL aunga mkono mabadiliko ya sheria kurahisisha Wakimbizi wahalifu kurudi makwao #MagazetiJAN12 #TazamaTZ
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Bandarini balaa, Mkurugenzi rasilimali watu awachomoa wenzake, asema idara zilipoteza makontena na sio wakuu wake #MagazetiJAN12#JAMHURI
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mamlaka ya Majisafi Moshi imesema Jeshi la Polisi na Magereza ndio wadaiwa sugu wa maji #MagazetiJAN12 #JAMHURI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Rais MAGUFULI atikiswa na ripoti ya rushwa Mahakama za TZ, aanza kulivalia njuga suala hilo #MagazetiJAN12 #JAMHURI>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Nabii BUBERWA asisitiza kutaka kukutana na Rais MAGUFULI, asema yeye sio nabii wa kutegemea sadaka ili afanye miujiza #MagazetiJAN12 JAMHURI
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Maalim SEIF atoa msimamo mkali,ataka M’kiti ZEC ajiuzulu na CCM, CUF kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa #MWANANCHI >https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Rais MAGUFULI jana amtembelea kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu Frederick SUMAYE hospitali ya Muhimbili #MWANANCHI>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Serikali yasaka bosi mpya Bodi ya Mikopo elimu ya juu HESLB baada ya aliyekuwepo kustaafu #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Serikali yafuta umiliki wa mashamba 17 Kibaha ambayo hayajaendelezwa baada ya mkoa wa Pwani kutoa mapendekezo #MagazetiJAN12 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Spika wa Bunge Job NDUGAI amewateua Wabunge 15 kuunda Kamati ya Kanuni za Bunge #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Kuna dalili mazungumzo ya muafaka Z’bar yamevurugika, Dk. SHEIN na Maalim SEIF watoa misimamo tofauti #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
#TWEET2: Dk. SHEIN asema ‘jiandaeni kwa uchaguzi’, Maalim SEIF asema CUF haiko tayari #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mahakama Kuu Mwanza yafuta kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge (Naibu Waziri) Angelina MABULA #MagazetiJAN12 MWANANCHI>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Baadhi ya watendaji wadaiwa kutia dosari ‘elimu bure’ ya MAGUFULI, watoza pesa kutoa barua za uthibitisho wa ukazi Tanga #MWANANCHI #JAN12
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Bomoabomoa yahamia Iringa kwa waliojenga mabondeni, maeneo ya wazi na kando ya barabara #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Vyama vya upinzani vyamshika pabaya Rais KABILA Congo, wamtaka atoke madarakani #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Wafanyabiashara pombe za kienyeji Mvomero MORO wapigwa marufuku kuuza pombe muda wa kazi #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Kinara wa biashara ya ‘unga’ El CHAPO akiri kwamba yeye ni baba wa biashara hiyo duniani #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mgogoro waibuka kijiji cha wakimbizi Tabora, wadaiwa kujenga makazi ya kudumu kwenye kambi #MagazetiJAN12 #MWANANCHI>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mwanza yaanza kuboresha miundombinu ya shule zake baada ya kupokea pesa za matumizi kutoka kwa Rais MAGUFULI #MagazetiJAN12 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Maofisa ardhi wanusurika kipigo kutokana na mgogoro wa wananchi na mtu aliyejenga eneo la shule Mwanza #MagazetiJAN12 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Kasoro kadhaa zatajwa kusababisha Simba, Yanga kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Wadau wapongeza Mbwana SAMATTA kuteuliwa kuwa nahodha wa kikosi cha Taifa Stars #MagazetiJAN12 #MWANANCHI >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Yanga imesema adhabu ya Haruna NIYONZIMA ilikuwa halali yake, iko tayari kumfikiria akiomba radhi #MWANANCHI #JAN12>>https://t.co/Ou3Khf4b9r
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Lionel MESSI abeba tena tuzo ya Ballon d’Or, anakuwa mchezaji bora duniani kwa mara ya tano #MagazetiJAN12 MWANANCHI>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Dk. SHEIN asema anaongoza Urais Z’bar kisheria wala hatishwi, anayempinga aende Mahakamani #MagazetiJAN12 #UHURU >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Serikali imesema inaandaa utaratibu ili kila mwananchi iwe ni lazima kujiunga na bima ya afya #MagazetiJAN12 #UHURU>>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mkoa wa Morogoro umeongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa kipindupindu ikifuatiwa na Arusha #MagazetiJAN12 #UHURU >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Waziri MWAKYEMBE afanya ziara ghafla ktk Mahakama za mwanzo Dar, akuta ubovu wa miundombinu #MagazetiJAN12 #UHURU >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Rais wa Z’bar Dk. SHEIN leo ataongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Z’bar #MagazetiJAN12 #UHURU>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Jeshi la Polisi Tarime linawashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili #MagazetiJAN12 #UHURU >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Uwanja wa ndege Bangkok waomba radhi baada ya nyoka kukutwa kwenye tolori la kubebea mizigo #MagazetiJAN12 #UHURU >>https://t.co/Ou3KhflMy1
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Kituo cha kuratibu matukio ya sumu katika Maabara ya mkemia Mkuu wa Serikali kimeanzishwa ili kusaidia watu watakaopata madhara #RaiaTZ JAN
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Rais mstaafu JK amesema baada ya Watanzania kukosa furaha ya kupata mataji katika michezo, Mbwana Samatta amemaliza kiu hiyo #TzDAIMA #JAN12
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Serikali imetoa siku 7 kwa wavamizi wa viwanja vya wazi vinavyotumika kwa ajili ya michezo kuviachilia ili viendelee kutumika #TzDAIMA JAN12
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Watu 205 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Kipindupindu huku wengine 13,491 wakiugua ugonjwa huo tangu ulipolipuka Agosti 15,2016 #TzDAIMA JAN
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Utekelezaji wa ahadi ya Serikali kutoa elimu bure umeanza huku kukiwa na changamoto ya kutotengwa fedha ya chakula cha mchana #TzDAIMA JAN12
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Mkurugenzi wa NHC ameshtakiwa kwa Waziri LUKUVI kwa kuvamia shamba la ekari 10 lililopo Kibaha na kudaiwa kutoa lugha za vitisho #TzDAIMA
— millard ayo (@millardayo) January 12, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.