Vurugu zaibuka Bungeni baada ya Serikali kutangaza kusitisha matangazo ya Bunge live kupitia TBC, kushuka kwa bei ya mafuta kumesababisha kushuka kwa shughuli za utafiti wa nishati hiyo Mtwara, watu wawili wafungwa wapatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Kinondoni wapatiwa msaada na Ujerumani wa kuchakata takataka kuwa mbolea, CUF wakutana kujadili marudio ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar.
Mtu mmoja afariki na kuzikwa na mali zake zote ikiwemo kreti za soda na bia, ndugu wahofia kufa wakibaki navyo.
Stori hizo na zote kubwakubwa kwenye uchambuzi ziko kwenye hii sauti hapa mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.