Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Abidjan Ivory Coast.
Sasa hapa tumempata meneja wa Diamond Platnumz, Sallam akizungumzia collabo ya Diamond Platnumz na Papa Wemba jinsi ilivyofanyika pamoja na mipango ya Papa Wemba.
‘Suala la post kuhusiana na Papa Wemba wakiwa studio Paris, Papa Wemba alikuja Tanzania mwaka huu mwanzo alikuwa na show Bagamoyo alipokutana na A Y walikuwa na mipango ya kufanya sample jina limenitoka kidogo kwahiyo baada ya hapo mmoja wa viongozi wake wakaomba wakutane na mimi ili tuzungumze kuhusu kufanya collabo na Diamond Platnumz’.>>>> – Sallam
‘Tulipoanza ziara yetu tarehe 28 mwezi wa 3 meneja wa Fall Ipupa Madina wakatuliaka pale Ufaransa nakumbuka session ya kwanza ilikuwa ni ya Papa Wemba na Diamond nyimbo ipo tayari’- Sallam
https://youtu.be/VkjOeJtOIzs
‘Katika maelezo ya Papa Wemba aliongelea kwamba anahitaji kufanya album ya mwisho ili afunge tena mkataba na Sallam Muziki kwahiyo alisema amechagua wasanii wakubwa waafrika mmoja wapo akiwemo Diamond, vitu vingi vilienda powa kabisa na pia vitaonekana katika reality show ya Diamond Platnumz inayokuja hivi karibuni‘- Sallam
ULIIKOSA YA NAY WA MITEGO KUHUSU MAMA WATOTO WAKE SIWEMA KUFUNGWA JELA MIAKA MIWILI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE