May 13 2016 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 na Waziri mwenye dhamana hiyo Nape Nnauye.
Akisoma hotuba hiyo Nape amesema…’Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 Wizara imepanga kukusanya jumla ya shilingi Milioni mia nane ishirini na wlfu tano. (Sh.820,005,000) kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato‘
‘Makusanyo yameshuka kutoka Shilingi Bilioni moja, Mia tatu thelathini na elfu nane (Sh. 1,330,008,000) hadi Sh. 820,005,000 kutokana na makusanyo yaliyokuwa yakikusanywa na Bodi ya Filamu katika sekta ya maendeleo ya utamaduni kutolewa‘
‘Ili Wizara iweze kutekeleza majukumu na amlengo yake ya mwaka wa fedha 2016/2017 naomba sasa bunge lako tukufu liidhinishe bajeti ya jumla ya Sh. 20,326,176,000 ambapo kati ya hizo, fedha za matumizi ya kawaida ni Sh. 17,326,176,00‘
ULIIKOSA HII DIAMOND NA MAFIKIZOLO WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI ?
https://www.youtube.com/watch?v=OXjkIF0U6UE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE