July 05 2016 Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa taarifa ya makusanyo ya mwezi June ambao ni mwezi unaofunga mwaka wa fedha 2015/2016. Kwa mwezi June pekee TRA imekusanya trilioni 1.4 na kwa mwaka wa fedha 2015/2016 wamekusanya zaidi ya trilioni 13.3 na kufikia lengo la makusanyo kwa mwaka huo la trilioni 13.36.
ULIKOSA HUU UFAFANUZI WA TRA KUHUSU 18% VAT KWENYE HUDUMA ZA KIFEDHA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI