Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa habari kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Wakati kasi ya wanawake kuzaa ikipungua, inaelezwa kuwa idadi ya wanaume wanaofunga vizazi inazidi kuongezeza nchini Tanzania pic.twitter.com/EwBLev3eIh
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#TANZANIADAIMA Polisi Arusha imewataka madereva wa magari "Subaru na Altezza kuacha maonesho ya kukimbiza magari kwani wanahatarisha usalama pic.twitter.com/oz1k4r8A2A
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#MWANANCHI Mahakama ya Ilala imemuhukumu Kassim Salum kwenda jela maisha baada ya kupora simu aina ya Tecno ya Tsh 110,000 kwa kutumia nguvu pic.twitter.com/HZVisOaP8t
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#MWANANCHI Tahadhari imetolewa juu ya joto ambalo linaongezeka hasa DSM kuwa linaweza kusababisha wadudu na wanyama hatari kuingia majumbani pic.twitter.com/qDGzTtzkfW
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#MTANZANIA Ripoti mpya za faru John zinasema alikuwa akiwapanda watoto wake, kuwaua wengine na pembe yake ilikatwa tofauti na iliyokabidhiwa pic.twitter.com/TqPWgu9jSJ
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#HABARILEO Serikali imesema Watanzania 8 waliokamatwa Malawi si majasusi wa serikali bali ni wafanyakazi wa taasisi ya misaada ya Caritas pic.twitter.com/NG7cqHyIZC
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#MTANZANIA Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga haina dawa maalum za usingizi kwaajili ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji ikiwa ni siku ya 3 sasa pic.twitter.com/ldUS2YTTDm
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#TANZANIADAIMA Serikali ya Rais Obama inatarajia kutangaza kuiwekea vikwazo nchi ya Urusi chini ya Rais Putin, inaituhumu kuingilia uchaguzi pic.twitter.com/6g7hesoKAD
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#MWANANCHI Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania TPSF, inatarajia kuishauri serikali kupunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani VAT ktk bajeti ijayo pic.twitter.com/C5Radtcf8E
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
#UHURU Serikali kupitia wizara ya Ardhi imetoa onyo kali kwa wanaotumia kisingizio cha migogoro ya ardhi kusababisha uvunjifu wa amani pic.twitter.com/UGcI33ug85
— millardayo (@millardayo) December 30, 2016
VIDEO: AYO TV Magazeti, Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016. Bonyeza hapa chini kutazama