Amplifaya ni show ya Radio ambayo husikika kila saa moja jioni Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia CloudsFM ikikuhabarisha habari 10 kubwa za siku kutokea kwenye area mbalimbali ambapo hizi ni za February 1 2017
#AmplifayaUPDATES DC Kigamboni athibitisha kushushwa vyeo Wakuu wawili shule zilizofeli FORM IV, imegundulika mmoja alipewa cheo kimagumashi pic.twitter.com/djS2EJNx8a
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES DC Kigamboni asema moja ya shule zilizofeli zaidi FORM IV Dsm (Somangila) kulikua na mgogoro wa uongozi, Walimu 7 walihama pic.twitter.com/36gJAEKudn
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Msafirishaji Mkongwe wa Wanyama TZ asema hajawahi kusafirisha kama hii ya Mtoto wa Mfalme kuweka Ndege ktk siti za abiria pic.twitter.com/AN6wB8BXTe
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Mmiliki wa Kampuni ya Majeneza Moshi asema ni kweli wamepunguza bei kwa 30% kwa yeyote ataejinunulia Jeneza kabla ya kifo. pic.twitter.com/pJBH7choKO
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Mmiliki wa kampuni ya Majeneza Moshi iliyopunguza bei 30% kwa atakaejinunulia Jeneza asema 'hatujakosea, hatuui watu' pic.twitter.com/EH8hgM422w
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Mbunge wa Mbeya Mjini J.Mbilinyi ahoji bungeni >>'Ni nani aliyeamuru wale Walimu waliopiga Mwanafunzi Mbeya Day waachiwe?' pic.twitter.com/8mbRfXEFoX
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES 'Serikali ilijenga majengo mengi UDOM, badala ya kuyaacha yaharibike, yatatumika na Wizara zinazohamia Dom'-Waziri Jenista pic.twitter.com/65nqY0GwJr
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES 'Shughuli za Wizara zilizohamia kwenye majengo ya UDOM haziingiliani kivyovyote na shughuli za masomo UDOM' -Jenista pic.twitter.com/AgEsVLsqAS
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Inaripotiwa kwamba Emmanuel Okwi amejiunga na klabu yake ya zamani ya Sports Club Villa Uganda kwa miezi mitatu. pic.twitter.com/szfE0yeEiw
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
#AmplifayaUPDATES Mtanzania Hilda aliyeanzisha Group za Whatsapp kukomboa Wanawake na sasa wako zaidi ya 2000, mwenye ujuzi anafundisha bure pic.twitter.com/OQ3Tr498tB
— millardayo (@millardayo) February 1, 2017
VIDEO: Wema Sepetu anazo sababu za kufuta picha zote kwenye Instagram yake, EXCLUSIVE ya AYO TV itazame hapa chini.