Leo February 9 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazowakabili.
Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kutoa kauli za kichochezi mara kwa mara na Wema Sepetu ni kuhusu ishu za dawa za kulevya
VIDEO; Walivyofikishwa Mahakamani TID, Rachel, Petitman na wengine, Bonyeza play hapa chini kutazama