Waziri Nape Nnauye amekasirishwa na kitendo cha watu kuchukua Tweet aliyoindika mwaka 2016 kwenye mtandao wake wa kijamii wa Twitter.
Leo ilibidi aandika >>>> “Hii Tweet ni ya tarehe 10/11/2016, mnapoichukua leo na kuifanya inauhusiano na sakata la madawa ya kulevya, ni kwa faida ya nani?!! UNAFIKI!”