Baada ya kusambaa kwa ujumbe kupitia mitandao ya kijamii unaodai kwamba kampuni ya Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na kupoke notisi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Milioni 700, Leo March 22, 2017 uongozi wa kampuni hiyo umesema kuwa taarifa hizo sio za kweli.
Clouds Media imekanusha kinachosambaa mitandaoni kwa sasa kwamba TRA imeibuka kuidai malimbikizo ya kodi ya MILIONI 700. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/DZh1X8ZzBB
— millardayo (@millardayo) March 22, 2017
VIDEO: Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo