Hekaheka ya leo May 31, 2017 imetokea Kigoma ambako mwanamke mmoja amenusurika kifo baada ya kutaka kuchinjwa na mumewe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi baada ya mwanamke huyo kusalimiana na mwanaume barabarani.
Imeelezwa kuwa baada ya kurudi nyumbani mwanamke huyo alikumta mumewe na kuanza kumuhoji akiwa amekiandaa kisu ambacho alimkata nacho shingoni na kumfanya mwanamke kupiga kelele kuomba msaada kabla ya kuokolewa na majirani waliompa huduma ya kwanza kisha kuwahishwa Hospitali kwa matibabu.
FULL STORY nimekuwekea hapa…bonyeza Play kusikiliza!!!
HEKAHEKA: Ujumbe wa mapenzi ulivyopelekea wanandoa kuchomana visu