Naibu Waziri wa Mazingira Luhaga Mpina leo July 7, 2017 ameamuru Ofisi ya Mkurugnezi wa Jiji la DSM kulipa faini ya Tsh. 25m ndani ya siku 14 na kutoa maagizo mengine ya kiutendaji baada ya kufanya ziara katika Dampo kuu, Pugu na kubaini madudu yaliyopo.
“Kama Waziri mwenye dhamana na dhamana niliyopewa nakubaliana na hiyo faini iliyotolewa na NEMC ya Shilingi 25m na ilipwe…sio kwa mwezi mmoja, ilipwe ndani ya siku 14.” – Luhaga Mpina
GOOD NEWS: MSD yatekeleza agizo la JPM kuhusu kununua dawa!!!