Kutoka kwenye Amplifaya ya Clouds FM leo July 19, 2017 ni muendelezo wa countdown ya story kubwa 10 za siku kutoka kwenye Siasa, Michezo, Utamaduni,Uchumi, Jamii na nyanja nyinginezo katika maisha ya kila siku.
Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza kupitia Radio kuanzia Saa 1:00 Usiku hadi Saa 3:00 Usiku millardayo.com imekukusanyia na kukuwekea karibu zaidi.
#AmplifayaUPDATES "Ukimkuta mkulima amepakia tani moja ya mazao yake anasafirisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine hakuna kumdai kodi-JPM
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES Lissu leo aligoma kutoka ktk chumba cha Mahakama Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili kwa kuhofia kukamatwa pic.twitter.com/RzwrtCozp3
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES Wanaume watatu waliomvamia na kumvua nguo mwanamke Kenya wamehukumiwa kifo, asema walitaka kumbaka akadanganya ana VVU
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES Uruguay wamehalalisha bangi kwa ajili ya kujiburudisha, karibu watu 5,000 wamejiandikisha kwa ajili ya kuanza kununua
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES "Kuna watumishi wametoa taarifa za wenye vyeti vyenye utata, tutawapata tu na mtashuhudia kitakachowapata-Waziri Kairuki pic.twitter.com/46VlOzBVlM
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES "Vengu ana nafuu, alipata mshtuko kwenye ubongo, inachukua muda kuwa sawa, inabidi apate muda atulie'-Joti pic.twitter.com/vfRtJgLEga
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES "Tumejiandaa kupindua matokeo vs Rwanda, sisi pia hatujafurahishwa na matokeo ya mwanzo kama ambavyo wengine"-Himid Mao pic.twitter.com/mWlY3IkEE4
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
#AmplifayaUPDATES "Ni vyema kila mtu akachunga kila neno analolisema ili lisiweze kuathiri mfumo wa maisha"- Waziri Mkuu, Majaliwa pic.twitter.com/Plgdfw7hPT
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
Simba leo imetangaza kumsajili Erasto Nyoni aliyekuwa Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/aIs5bRNzWO
— millardayo (@millardayo) July 19, 2017
“Ole wao wanaovujisha taarifa za wenye vyeti vyenye utata” – Serikali