Inawezekana umekuwa ni miongoni mwa watu ambao wanashiriki kukiss, sasa kuna mengi ya kufahamu ili kuchukua tahadhari ikiwemo aina ya watu ambao unashiriki nao kufanya tendo hilo.
Unaambaiwa Kissing inaweza kusababisha mtu kupata bakteria ambao wanapelekea mtu kupata magonjwa ya moyo na fungusi ya mdomo. Mtaalamu wa dawa na tiba, Dr Sajjad Fazel amefafanua kwenye hii video hapa chini, bonyeza play kuitazama
VIDEO: Mtu anavyoweza kupata ugonjwa wa Ini kupitia Salon, Bonyeza play hapa chini kutazama