Wakati Mwanza ikiwa ni mkoa ambao umeingia kwenye list ya kushuhudia burudani ya Fiesta kwa mwaka 2017 huku wasanii tofauti tofauti wakitumia jukwaa moja kutoa burudani, msanii Nkunda Star kutoka mwanza alikuwa miongoni mwa wasanii hao ambapo na yeye alitoa burudani katika jukwa hilo kwa kutumia lugha ya Kisukuma.
Nkunda Star yeye alichana kisukuma na kupewa shangwe mwanzo mwisho, itazame hapa show yake kwa kubonyeza PLAY hapa chini..
VIDEO:Alikiba alivyoimba ‘Seduce Me’ na wanafunzi wa Nganza High School Mwanza