Kuna maporomoko ya maji mengi sana duniani ambayo huwa ni vivutio vikubwa vya utalii katika nchi husika yanapopatikana maporomoko hayo. Kama ulikuwa hufahamu yapo maporomoko ambayo yanaelezwa kuwa na muonekano mzuri na kuvutia zaidi duniani. Maporomoko hayo ni haya yafuatayo
Langfossen – Norway Magharibi
Hogenakkal – India
Havasu – Arizona Marekani
Baatara Gorge – Lebanon
Sutherland – New Zealand
Plitvice – Crotia
Cascate do Caracol – Brazil
Hanakapiai – Marekani
Yosemite – California Marekani
Barabara ya Pamba Mwanza itajengwa kwa Bil. 1, itafumuliwa upya.