Hivi karibuni mchekeshaji maarufu MC Pilipili alipata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Ayo TV na millardayo.com na alieleza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ajali aliyopata miezi kadhaa iliyopita huko Shinyanga.
Kuitazama interview hiyo bonyeza kwenye video hii hapa chini
Ulipitwa na hii? JOTI: Anatamani na Wakuvanga aoe… “ana watoto watatu lakini bado”