Leo February 5, 2018 Rais wa Mahakama ya Afrika Mashariki William Ugirashebuja amesema Mahakama ya Afrika Mashariki inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa Wafanyakazi ambapo kwa sasa wapo 28 pekee huku ikielezwa kuwepo kwa uhaba wa fedha za kuendesha shughuli za Mahakama
Rais Ugirashebuja amesema pamoja na hayo pia tangu kuanzishwa kwa Mahakama hiyo 2011 walikuwa na kesi moja lakini hadi sasa wanazaidi ya kesi 200.
MAZISHI JUMATATU: Bado Haijulikani ni Dini gani itamzika Mzee Kingunge?