Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amefanya ziara yake Mkoani Mwanza na moja ya taasisi alizotembelea ni Chuo cha Ualimu Butimba kukagua ukarabati wa majengo ya Hosteli ambao umetumia zaidi ya Pesa mil.863, ambapo ameagiza apewe ripoti ya ukarabati kwa kuwa upo chini ya kiwango.
DARAJA LA RELI YA KISASA KUTOKA STESHENI – ILALA DSM LAZINDULIWA